Youtube isikufanye mtumwa pesa ziko hapa


#WASANII #BLOGGERS #WATANAGAZAJI #KILAMMOJA
Ukuaji wa teknolojia na mitandao ya kijamii umekuwa ni ajira na njia nzuri kabisa ya watu kutenegeza PESA kwa njia ya mtandao wakiwa wamekaa tu bila kutumia nguvu nyingi bali akili kidogo na mafaniko makubwa. 
Tatizo linakuja pale wenye platform za kutengeneza pesa kama vile YOUTUBE kuwa na vigezo au mashariti mengi na magumu hivyo watu wengi kuikosa nafasi ya kupata pesa kutoka mtadaoni.
watu wengi wamejikita na sehemu moja ya kutafuta hela za mtandaoni ambayo kwa sasa ina mambo mengi hadi kupelekea ugumu wa kupata pesa kwa watumiaji kushindwa kukidhi vigezo na masharti ya youtube. Lakini kuna platform zingine na rahisi sana kwa kazi kama hio kujiingizia kipato kutumia mtandao. mfano kama zinavyoonekana hapo juu kwenye picha yani souncloud na audiomack hizo ni baadhi tu ya maeeno ya mitandao unapoweza kutengeneza pesa kama ilivyo kwa youtube pia masharti yao sio magumu kama youtube. Jambo la muhimu unalopaswa kufanya ni kuwa tayari kama una nia ya kutenegeneza pesa kutoka mtandaoni kisha baki na sisi gericmedia.com tutakupa namna unavyoweza kupata pesa kutoka huku ukiwa umekaa ndani tu. Tazama mfano hapa chini..

Zoom picha ili uone vizuri

kama ulikosa show yetu ya DroppingTips basi sikiliza hapa ujue namna ya kuijiwekea akiba ya pesa hata kama una elfu 1 tu. Kaa karibu na kutembelea gericmedia.com ili uendelee kujifunza namna ya kupata pesa kama mifano hapo juu kadri tunavyoendelea kutoa mbinu hizi moja baada ya nyingine. Kwa lolote kuhusu maswala haaya au maoni yako wasiliana nasi kupitia simu/sms/whatsApp: 0743536577 au barua pepe: gericml@gmail.com
ITAENDELEA BAADA YA HII

Youtube isikufanye mtumwa pesa ziko hapa Youtube isikufanye mtumwa pesa ziko hapa Reviewed by Geric Media Live on October 05, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.