Kila mtu amejaaliwa uwezo na ujuzi tofauti ila tunatofautiana namna ya kuutumia au kuuonesha, kuna wanaoogopa au kuona aibu kuonesha baadhi ya vipaji au uwezo wao ili kuutuia katika jamii kwa sababu mbalimbali. hapa chini ni kuna mambo muhimu katika hilo. chukua dakika 5 kusikiliza hapa na ikikupendeza mpatie na mwenzio.
KIPAJI/UWEZO WAKO NI MAISHA YA WATU USIUFICHE
Reviewed by DjGeric
on
December 04, 2018
Rating:

No comments: