Inawezekana umewahi
kuwa na marafiki ambao kwa sababu mbalimbali mkapotezana na mawasiliano kati
yenu yakafa kabisa, lakini imefika wakati ambao unataka kurudisha ule ukaribu
wenu ambao mlikuwa nao kwa sababu pengine umekumbuka umuhimu wake kwako japo ni
muda mrefu hamjawasiliana.
Basi hapa leo utafahamu
njia nzuri ya kumrudisha na yeye akawa kama mlivyokuwa zamani.
kama unapenda kuifunza kwa sauti (Audio) basi bonyeza hapa ili kusikiliza na kama unapenda kujifunza kwa kusoma bonyeza hapa ili upate pdf fupi yenye maelezo kamili.
kama ulipitwa na vipindi vilivyopita bofya hapa ili kujifunza zaidi.
NAMNA YA KUMRUDISHA RAFIKI YAKO WA ZAMANI
Reviewed by Geric Media Live
on
February 09, 2019
Rating:

No comments: