Wazazi/walezi wana mengi wanayofanya kwa ajili ya watoto wao lakini pia walio wengi wanasahau mambo ya msingi sana ambayo utajifunza katika video hii.
kama ilivyo kawaida yetu kuhakiksha tunachangia tabasamu kwa kila mmoja anayekuwa karibu na huduma zetu leo tunayo hii #SOCIALPOD kwa ajili yako tunaamini itakusaidia kujenga mahusiaano mazuri kati yako na watoto wako,
Pia hata kama huna mtoto lakini badae unaweza kuwa na watoto au ukamsaidia mtu wako wa karibu kuyafanya haya kwa ajili ya watoto wake na mwisho wa siku kila mmoja akapanua wigo wa tabasamu lake.
Pia usiache kutembelea hapa ili kupata mengine makubwa na mazuri yatakayokusaidia kutenegeneza maisha yako hasa upande wa pesa. Kama ulipitwa zilizopita basi bonyeza hapa ili uwe miongoni mwa waliofaidika nazo.
WAZAZI/WALEZI ZINGATIA HAYA MAHITAJI YA WATOTO
Reviewed by DjGeric
on
February 23, 2019
Rating:

No comments: